Ndoa nyingi zinazofungwa sasa ni za kishirikina

Hi wakuu,

Mambo ya ushirikina katika mapenzi yameanza toka zamani hizo ambapo wanawake waliita limbwata.

Sasa sikuhizi wanaume wamekuwa wagumu kuoa, sasa wadada wengi wamestuka mapema wanawapeleka kwa waganga ili waolewe.

Unashangaa ghafla bonge la harusi linafungwa kumbe ndumba.

Ubaya wa ndoa hizi zinabamba mwanzoni hataree. Dawa zikiisha ndoa inageuka gereza.

Niishie hapo…

Wanaume legezeni mmekaza

Doncute

Aisee

Mmekuwa wepesi saana so hata hamu ya kuoa masela hatuna, Kidume unakula papuchi daily sasa ndoa unaanzia wapi kuwaza

Kweli tunagawa sana…

Wife material kwanza kupata papuchi yake kabla ya ndoa ni mbinde, Yaani siku akikutunuku unakeshea vile unajua kupata tena ni mbinde.
Ila siku hzi ni cheap sana Demu yaani ndani ya masaa mawili tayari ushatongoza na papuchi ushakula.
Wanaume hatujakaza ila tunaendelea kutafuta na bidhaa tunazotaka ni adimu kwa sasa

Umenena vyema…mwenye masikio na asikie

NO comment

Kumbe wanapelekwa kwa maana iyo kalizia bhana

Sasa unigawie na mimi utamu, ukimbizi sio ugonjwaa

Mmmh

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

kuona wadada wachawi. Usikute na humu wamo wengi tu. Wasaka ndoa za kichawi

Nikirogwa poa tu maana ndoa ni jambo si dhambi

Wadada siku hizi uchawi wao ni kukukalia uchi… kama kajisahahu vile kumbe anakuvutia speed…

Cc: @Mahondaw

Asee huu uchawi kiboko,unatofautiana sana na mleta Mada

Mi

Namgawia mume wangu tuuu…

Umeuwa mkuu aisee!

Inamanisha kwamba ukilala nae tu, lazima utangaze ndoa…

Cc: @Mahondaw

Labda hiyo K iwe imepakwa dawa ya kuvuta ndoa…maana wengine huliwa na kuachwa

Na ni wengi hawa