Ndugai anatumika vibaya

sesere

Senior Villager
#1
Niwazi sasa Tanzania inaputika kisiasa,kiuzalendo na kifikira,awamu hii ndio tumeona uchi wa mama tanzania ukiachwa wazi na watawala,walijifanya ni viongozi wa taifa kwa miaka mingi lakini miyoni sivyo,Mhe. Profesa Assad sio mtu wakupuuzwa ,kudharauliwa kiasi hiki na Mtu kama job ndugai na watu waliomtuma ,ASSAD ni mtu anayefanya kazi kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano ,sio mtu wakupelekesha na walevi wa madaraka kama Job ndugai mgogo wa Dodoma na waliomtuma,wanafikiri wanachi ni wajinga sana hawawezi wakachuja machicha na vyakula,wanafikri kwa kumchafua Profesa Assad wanaweza kufanikisha malengo ya mioyo yao,Profesa Assad kusema kuwa Bunge ni dhaifu kiasi kwamba linashindwa kuiwajibisha serikali ni kosa.MUNGU AKUBARIKI PRO. ASSADI NA KUKULINDA NA MAFEDHULI HAYA JAMII YA NDUGAI
 
Last edited:
#2
Kwani hujui mkuu Mgogo Ndugai ni mgonjwa muda mrefu? Hujui ana matatizo ya akili hadi akachapa mpinzani wake bakora ya kigogo? Hujui anafuataga nini India kila wakati? Huyu anatumwa kama jini na Jiwe ndiye mtumaji. Sasa watamalizana subiri. Wabunge wote mnaomuunga mkono Asad wote tuseme kwa pamoja BUNGE linaloongozwa na Ndugai NI DHAIFU SANAx100000
 
Top