Nduthi swaffi....

1989 Tenere XT600 3AJ.
Mama yao.
[ATTACH=full]199657[/ATTACH][ATTACH=full]199658[/ATTACH][ATTACH=full]199659[/ATTACH][ATTACH=full]199660[/ATTACH][ATTACH=full]199661[/ATTACH][ATTACH=full]199662[/ATTACH][ATTACH=full]199667[/ATTACH]

Unajaribu kusema nini my fren. Na kwani hiyo nduthi tank yake iko kwa matako?

Hii thread ni ya over 18, kumbaff.
Hii iko modified iko na tank mbili.
Nikipata pesa nafanya vile vile.
Na ujue tunachomanga warogi.

But nduthi inakaa tu hovyo kabisa. Ni cc ngapi kwanza

Ulirogwa na Tenere na mrogi akahamia kayowle?

Humbwer.

For a kipara makanika mwisi, the sight of such a Nduthi leads to uncontrolled release of endorphins…

For this or a Chevelle SS and a KTM 990 I will sell one wife.

Weka picha ya Bibi nione if it’s a fair trade

Lakini kusema kweli makanika mulefi, Hi I mikono yako kwani haukumaliza ku_Evolve. Ama you evolve retrogresively

Nice! Hardy work horse. Looking to do the Dakar soon janam?:smiley: Enduro squad pap!

Ukiongesa tank kunguru takuwa nakalia wapi?

Ona hii panya…
Chukua hii ya Rhino Charge Mongoose Edition.
[ATTACH=full]199957[/ATTACH]

kuna nduthi kama io blue hupita hapo university way mi hushuku ni wewe