Sip poa kumaliza story fast Kama shoti ya Kwanza …
So after a successful day Mimi huyo , nafunga kibanda yangu, Niko na maubao kuruka, napitia kwa butchery ya mwash ni jamaa amestunya Kama @kushmnono , sijui ama nijuu ya Kula mafuta mob …
Napimiwa ka nusu , n am Keen asinipimie mifupa , but hata nikiwa keen aje sijui vyenye hunirushia mfupa quota hapo , that knowledge of uwizi sijui alitoa wapi …
It’s 24 so lazima nijinyce pia , napitia runda city pub nachukua takeaway nne za fax na mzinga moja ya KC . If u thought nitakunywa hio pombe yote alone u are wrong…
Kuna dame flani ako na haga poa Ali open milk dairy bar hapa mtaani, I text her , “niaje msupa siukam ivi kwangu nitoe form” she replies “eeeeeeeh mmmmmmh”… M sure this damsel will come over nibadirishe oil…
Kufika kejani hata siingizi nduthi naiwacha nje ya get … Keja naiosha karibu nioshe na jik , damn si place inanukia vipoa …
I text the damsel again kukauliza kanakam saa ngapi coz ni 11p.m already…"Aki machaa can’t make it , hata siko Thika Biko kitui "…
Woiiiii sema kukata kitunguu na machungu , kanusu nakechemsha na mchele feeling bored …
Nawekelea ka nusu kwa meko n lie on the sofa . Mzinga na fax ziko tu kea meza hata sijaziguza… Ushawai sikia mjulubeng inaweza fanya ukufe ? …