Need help (BUDGET ALLOCATION)

#1
Tommorow is the D Day, and i should meet this chic from Kiambu Road (trying to seduce). I had a suggestion that we should meet at JAVA house and from where i come from (Lifunyu Village) kuna vitu sielewi. Have downloaded JAVA menu for you guys to help me on choosing a ligher cheap meal.
Msiniangushe kwa date juu after hapa si wen al be free to take her Muthurwa for Kichwa ya mbuzi ugali @ 70/= wen she says "YES".
 
Attachments

T

Theuri wa kigogoine

Guest
#3
I learnt the hard way....... siku I just explain to the waiter what I want to eat bila hata kuangalia menu. kama ni chali namshow nataka chakula ya mwanaume.
kama ni dame namshow alete chakula anaweza pea bwanake. My wife used to give me a bad eye lakini alikam kuelewa pia.
 
shocks

Village Sponsor
#5
Hiyo homefry heaven sounds heavenly... although sijui ni nini hiyo
Ni pieces za viazi kama vile viazi hukatwa home then zimekuwa fried kama chips, lakini zimepikwa na ngozi
Tommorow is the D Day, and i should meet this chic from Kiambu Road (trying to seduce). I had a suggestion that we should meet at JAVA house and from where i come from (Lifunyu Village) kuna vitu sielewi. Have downloaded JAVA menu for you guys to help me on choosing a ligher cheap meal.
Msiniangushe kwa date juu after hapa si wen al be free to take her Muthurwa for Kichwa ya mbuzi ugali @ 70/= wen she says "YES".
I find Java and other coffee houses huwa suited na tu deals twa biashara hivi, ikiwa unataka ambience fiti ya mkatiano tafuta ka real restaraunt uongeze 5soc to thao hapo na ukuwe na a great time
 
Last edited:

Sterphyle

Village Elder
#6
Hizi kelele zako hazitawahi isha anyway free tip when ordering food don't smile to the waiter or waitress kunja suru mbaka ajiambie enyewe huyo msee has some serious work to do huku nje other than kuorder chakula.
Kwa hio menu nimecheki avacado cheese you should eat that:D:D
 
#7
Ni pieces za viazi kama vile viazi hukatwa home then zimekuwa fried kama chips, lakini zimepikwa na ngozi

I find Java and other coffee houses huwa suited na tu deals twa biashara hivi, ikiwa unataka ambience fiti ya mkatiano tafuta ka real restaraunt uongeze 5soc to thao hapo na ukuwe na a great time
Examples of real restaurant ni gani?
 
Top