Neno la shukrani... A Thanksgiving....!

Thanks you guys… Kenya talk… Nasema asanteni sana… Mlitukaribisha na kutupokeya kwa mikono miwili…
Kamwe you never left us alone. Tukafurahi nakukushana mengi ya nyumbani Tz kwa wale tuliobahatika kufika huku
Now its time to go back home… We are on the preparations to say goodbye… Tutawaham sana
Asanteni

Ng’ombe ya magufuli, swadakta.

MUTHIE MUKIUMAGA.[ATTACH=full]179669[/ATTACH]
Bye

Vipi mzawa kila kitu kiko OK! Au maneno tu ya melo?

Almost there na PM iko ok, makala zinasomeka ila huwezi kureply labda kulike tuu[ATTACH=full]179672[/ATTACH][ATTACH=full]179673[/ATTACH]

Neno jema sana kushukuru

Bado maghufuli atawahangaisha mkirudi. Bakini hapa tu.

Hapa nitakua na ingia maramoja moja ila kule kwetu kunanoga sana aise Asanteni sana ktalk.

asanteni karibuni tena ktalk

Karibuni tena ndugu wa-Tanzania.

:D:D:D:D

:mad::mad::mad: