nina swali.... leo saf ilikuwa na shida na net yao tangu morning ama ni mm nilikuwa na nyongewa net pekee yangu .... coz the whole day sijaweza ku access net na nikiwasha net phone inaenda into heating mode... juu ya kutafuta net... Any one else Expirenced such?