Never felt so embarrased

byro

Village Elder
#1
06:45A.M, niko kwa matatu, haina music so watu wametulia reminiscing, others groggy from night sleep, only one guy is complaining about morning jam. Mr. byro ametulia akakumbuka kenyatalk, so remove his phone but before niingie, nikaona wacha nione some whattAp texts zimeingia.
Reply some, text all my ladies a group morning text then nikaangalia jamaa amenitumia a clip. Tap the clip, FUACK. FUAAAACK.....jamaa wameniangalia wote, nikapanick, nikashindwa huwa inazimwa aje. nikajaribu kutafta mdomo wa simu, kuiweka kwa mfuko but bado inapiga kelele,4 seconds zikakaa mwaka. Then finally i managed kufunga damn clip.

watu wanashake vichwa wengine nyuma murmurs, i felt i should just vanish. Conductor wa mombasa vile wamezoea kuongea after every episode akaanza, daah, kwa raha zako sio? Ata na asubuhi wadai ngoma?
 
Attachments

#5

:D:D:D:D @pimpin5000hoes , @pseudonym and now byro. I can't open any clip kwa mat.
Ni ufala. Mimi nilidownload hapa ktalk. The receptionist has maintained her cool but am sure she thinks weird of me.
 
m245

Village Elder
#12
i was once fooled pale mukuru, niko kwa hotel flani nimeorder food nangoja sipping some juice nikiscrol nkaona a funny looking musical instrument the caption was "kumbe hii kitu ndio hutoa hii sauti kwa horror movies" nikatap niskie ni sauti gani hio.....kumbe ni dame anawika "ah ah ah ah" never felt so stupid and ashamed
 
#15
06:45A.M, niko kwa matatu, haina music so watu wametulia reminiscing, others groggy from night sleep, only one guy is complaining about morning jam. Mr. byro ametulia akakumbuka kenyatalk, so remove his phone but before niingie, nikaona wacha nione some whattAp texts zimeingia.
Reply some, text all my ladies a group morning text then nikaangalia jamaa amenitumia a clip. Tap the clip, FUACK. FUAAAACK.....jamaa wameniangalia wote, nikapanick, nikashindwa huwa inazimwa aje. nikajaribu kutafta mdomo wa simu, kuiweka kwa mfuko but bado inapiga kelele,4 seconds zikakaa mwaka. Then finally i managed kufunga damn clip.

watu wanashake vichwa wengine nyuma murmurs, i felt i should just vanish. Conductor wa mombasa vile wamezoea kuongea after every episode akaanza, daah, kwa raha zako sio? Ata na asubuhi wadai ngoma?
:D:Dearphones ni essential wear kwa villagers
 
byro

Village Elder
#20
:D:Dearphones ni essential wear kwa villagers
huezi vaa earphones each and every time.
Yaani unaweka phone kwa mfuko ikiwa bado inapiga nduru? Shenzi type. Mwanaume ni kujifanya like a boss while long pressing the power button like nothing happened.
panic is a bitch. If you do watch porn in your phone regularly, kitu kama hii ihappen you will be immune to any surprise thrown your way.
 
Top