NEW MIXTAPE ALERT!!!!

Touchlyrics

Village Sponsor
#1
Welcome to a brand new Month. What better way to kick it off with a brand new Mix, juu hii month itawashika league ikirudi. Turn it up!

demak.jpg

DEMAKUFU!!!! From Nobody to something.
 
1776

Village Sponsor
#2
in that whole list i have only heard four of those songs and that is because i was at a place where the bar outside was playing them
 
kush yule mnono

Retired Hekaya Master
#3
Sad state of affairs. Ati this is the best Kinya can produce, kuskia hio mix inani umisha kichwa sana .... demakufu, thanks though on behalf of the millenials na AMG crew.
 
Salazar

Village Elder
#6
Sad state of affairs. Ati this is the best Kinya can produce, kuskia hio mix inani umisha kichwa sana .... demakufu, thanks though on behalf of the millenials na AMG crew.
Buda hivi ndivo mtu hujua uzee kuisha ingia, sasa kumbuka hivi ndivo mapero walikua wanajiuliza wakicheki ukichapisha K-Shaka au megarider max vol kwa keja kwa ile mtungi ya shosh ya maji ilikua inatobolewa shimo na kuwekwa speaker.
 
kush yule mnono

Retired Hekaya Master
#7
Buda hivi ndivo mtu hujua uzee kuisha ingia, sasa kumbuka hivi ndivo mapero walikua wanajiuliza wakicheki ukichapisha K-Shaka au megarider max vol kwa keja kwa ile mtungi ya shosh ya maji ilikua inatobolewa shimo na kuwekwa speaker.
Hehe ... u don't have to tell me the truth bana
 
Top