Sad state of affairs. Ati this is the best Kinya can produce, kuskia hio mix inani umisha kichwa sana … demakufu, thanks though on behalf of the millenials na AMG crew.
Buda hivi ndivo mtu hujua uzee kuisha ingia, sasa kumbuka hivi ndivo mapero walikua wanajiuliza wakicheki ukichapisha K-Shaka au megarider max vol kwa keja kwa ile mtungi ya shosh ya maji ilikua inatobolewa shimo na kuwekwa speaker.