NEW MOVIE!!!

Movie mpya ya kitamaduni “Nambacha” bonyeza hapa kuitazama na kumbuka kusubscribe
https://www.youtube.com/watch?v=PtPr6hSX-i4

No way.

Labda inikute bahati mbaya kwenye basi nikiwa safarini

That’ll also be much appreciated Demii…

Wekeni site ambayo tutakuwa tunadownload movie za kibongo hata kwa kununua kwa bei rahisi. Itatoa hamasa kwa ambao hawajazoea kununua/kuangalia movie za kibongo.

Tunaweka Youtube coz ni njia rahisi ya kuwafikia wengi hasa wabongo, ukiwauzia hawata nunua…