New Panya routes in And out of Nairobi

Kenyans never disappoint.

Siwezi tazama video maze

Watu waswim…

Isikuwe ni panya routes tutapigwa ngeta na weweo_O;)

Hahaha ati walifungua airport, wakaleta waChina sasa sisi ndio tunaumia.
Kina Mwangangi, Kibicho, Kagwe and Matiang’i including Uhuru himself have cushioned themselves against the economic shocks. They expect the rest of Kenyans to just starve to death? Wawache za ovyo

How did this end up here? Kwani u belong to mitatini? Hii ni domestic

Huyo jamaa ni fala ku-record hiyo video.

Ata serikali wakikuja wafunge hiyo bado kuna panya routes mingi.

For how long do these bonobos expect to carry on

@administrator bado hujarekebisha hii maneno ya video attachments?

Their lot shall be selected for extinction by COVID19

[ATTACH=full]295809[/ATTACH]