Ni siries gani mpwa sai zinabamba? Nataka love story na action kwa mpigo
unasema?
Siri ya Baba iko sawa…
Sijui siri zozote. Hata ukiniambia nasahau
Hii ng’ombe ilale ndani hadi Monday.
Ong’er.
[ATTACH=full]173490[/ATTACH]
ongea tu kijaluo umezoea tutapewa transleshen .
What the fuck is siries?
leo umeuliza kitu cha maana
Into the badlands
Westworld
Billions
Star wars Pornhub parody
Bandland imefika sisn ngapi ju niliachia 2
We ni murogi sana
Mi ni bunyore bana
We kwanza umenikumbusha… jana ilikua cku ya kusamehana na ulinitusi.nimekusamehe lakini
season 3
Its the plural of siri.
Wacha kutumia simu za mchinku, zinatoa vitu zingine ajabu
Tafuta Barry.