New Water Tariffs Mombasa County

Dear customer, We value you. below please find the newly Gazetted water Tariff, with effect from September, 2017. 0-6(Cubic meters) = 75/-, 7-20 =85/-, 21-50 = 105/-, 51-100 = 140/-, 101-300 = 180/-, over 300 = 200/-. Kiosks = 35/- . Thank you STOP204
@Malaika Firth ebu njoo kiasi uniambie kaa ni Joho ameongeza au ni water board au ni Msa Water nijue nitarusha mawe wapi. niko nazo Tata nzima
[ATTACH=full]124740[/ATTACH] [ATTACH=full]124739[/ATTACH]
we are just paying for air.
CC: @Kasighau @Yollo @kingolonde @kaki86 @paparazzi @Soprano @byro

4 Likes

si mchote ya bure hapo baharini mkubwa

9 Likes

He he…uchaguzi uliisha sasa ngonjeni uzito was susutan…

3 Likes

Sasa ni maji gani wanaripisha brary fogothary.

4 Likes

motherfucker peleka ujinga wako KMNU

2 Likes

si ukatengenezee tomato sauce baharini? kwanza itakuwa na ka chumvi chumvi hivi.

1 Like

hio ni per unit ama for the total consumption?

:Dhalafu aseme naturally salted?

4 Likes

tuliza makende .mbwa wewe

the normally charge per cubic meter and i guess that the unit you mean au?

Kingi bado hajalipwa

I reserve my comment as ES but have to say MEFFI

4 Likes

yes 1 unit = 1 cumec

1 Like

hurumia mkambondia, panty gases zimeharibu akili

4 Likes

Ile @Meria Mata alisema itakuja usiku

1 Like

this is hex-pens-hive.

atleast mimi hupata maji three days a week, other days ni hewa tu

:D:D:D, I saw that one coming.

2 Likes

Who is the author of the message. Start there before throwing stones,and asking for clarifications unless you are using this just an excuse to get @Malaika Firth 's attention…

3 Likes

yule mtu wa Nduthi sialitukosea jameni?

3 Likes