New Zealand bado

Nimecheki @Akothee thread ukiulizia New Zealand nikakumbuka teamtalk…no.1 anti jubilee village conman …aliendanga wapi:D

Last time I heard of him alikuwa akinunua madini pale Tz.

Mumeamka
[ATTACH=full]248752[/ATTACH]

hawa kuna mahali wameitwa iruga…kuna function ya ocha na kuna wageni wanaingia na magari…ndio wanaangalia

hapo inakaa OhMUSALABA