hapa ni wangapi tumetoka kijiji ile ingine cz naona majina familiar hapa but nahope atwoli hayuko huku.
ni gatheti imenileta huku
Atwoli ndiye huleta gatheti…hehehe…and at ua door step…hauna bahati lazima choo ifunguliwe
amakohosi karibu kwa kijiji
Hapa ni wanakijiji wa former K/list wako wote…na sio k/list sasa ni K/LOST
Anyway Karibu kakabraza.
thanks @Electronics4u , @Fala 12 na @ol monk (old monkey) na huku niwaulize tu, kuna watu kukulishwa mistari?? na grace msalame yuko huku?? lakini hiyo disaster ya kijiji ilinipea stress ni kama mimi ndio wanderi
mimi hata hii interface inanishinda sijajua hata kuitumia nimeingia leo lakini nitang’ang’ana…
Hajaingia bado. Kijiji ilipea watu stress lakini sii tulijipangia huku. hata najua akina crazy dude, Third man na Kabuda sijui kaa wanalala. Kama uko na email zao waonyeshe hii njia.
vile nishafika hapa lazima nilete wenzangu huku i have to be a villagers keeper…
na daktari wa kijiji ni nani huku??. @Chiefkiumbe big up
THANK you @The.Black.Templar nilikua nimeteseka bro na haunionyeshi njia kaka… but at least niko hapa.
Pole sana kaka, nimekua nikisema nitakutumia email nikuulize details fulani hapo…lakini wapi
On that note wacha niambie lister fulani niko na details zake atokezee hapa
nadhani hatujaelewana, namaanisha kuna lister mwingine nikona contacts zake, labda anahangaika tu huko nje kwa soko kama mwenda wazimu.
Nitamshow ajoin listers wengine hii kijiji
Karibu… Lakini nugu mzee haruhusu kahawa ya saa kumi kwa hii kichaka yake…
Haha kichaka ya nugu nzee