nganya music mixes

Lecturer

Village Elder
#22
Kuna ingine ya roots niliskia kwa mat nikitoka hapo Public service nikauliza dere ni ya nani,kunieleza nikatafuta nikakosa,ilibidi nimuombe flash nicopy kwa laptop,aliniangalia kama ameona chizi lakini alikubali shingo upande,nikamdunga mia nikapiga chochoro unyoya