Ngara on sunday

One sunday niliamua kutembea ngara nikasema wacha nitafute park road juu mabloggers wameisifu sana for ma kunguru at first sikuwaona but wacha nikaribie apo karibu na gari za costo ile kuitwa nilikua nimeitwa na ni mchana adi sikumalizia iyo street juu nilikua nimeanza kumbao nilirudi 2…next week sijui nitembee 12street easgley ama buthia

Admin huchoki

ukienda ngara ulituomba ruhusa …

Nani sasa amekuhomba ruhusa nikipost uko na umama

Pitia hapo Stima Plaza uoshe macho

Oh,the lower caste guy:D:D

Mutu wa posho mill, tunakuona sana!! :smiley:

We hutaki discreet massage. unataka Kutembea mguu ka kuku ukiangalia mahindi

Share exact location bruh…

Kolobot Road

Najua hapo kuna petrol ya total utaanza kuwaona

Wah…hao ni UoN and KU students…na wazazi wao wanasema watoto wako Nyairofi wanasoma…:D:D