Ngimanene Goes Shopping

#1
IMG20170830145824.jpg Ngimanene amepitia pale local supermarket kununua Ngima ya GoK na alikuwa amesahau kuwa plastic bags had been banned. Sasa pale unanunua non woven ya 10 bob yenye wadaku wanaona kile umenunua kisha unatembea nayo hadi nyumbani, Wakumbwa na wadaku what has been your experience post plastic bag banning? Mpaka nyeni sijafungiwa ziko tu hapo ndani. Sijapata nafasi ya kununua Chapo takeaway nione vile inafungwa
 
#2
View attachment 122921 Ngimanene amepitia pale local supermarket kununua Ngima ya GoK na alikuwa amesahau kuwa plastic bags had been banned. Sasa pale unanunua non woven ya 10 bob yenye wadaku wanaona kile umenunua kisha unatembea nayo hadi nyumbani, Wakumbwa na wadaku what has been your experience post plastic bag banning? Mpaka nyeni sijafungiwa ziko tu hapo ndani. Sijapata nafasi ya kununua Chapo takeaway nione vile inafungwa
hapa kihunguro bado tunatumia polythene bags
 

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!


Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top