[ATTACH=full]122921[/ATTACH] Ngimanene amepitia pale local supermarket kununua Ngima ya GoK na alikuwa amesahau kuwa plastic bags had been banned. Sasa pale unanunua non woven ya 10 bob yenye wadaku wanaona kile umenunua kisha unatembea nayo hadi nyumbani, Wakumbwa na wadaku what has been your experience post plastic bag banning? Mpaka nyeni sijafungiwa ziko tu hapo ndani. Sijapata nafasi ya kununua Chapo takeaway nione vile inafungwa
1 Like
hapa kihunguro bado tunatumia polythene bags
@nyogetha huku local supamaket mpaka wametoa watu wa kubag, mtu anajiwekea kwa bag baada ya kununua
2 Likes
Wuuueh naona mizizi apo ndani
Hizo ni nyeni hakuna juala ya kuweka
Hata thufu beba thermos…
1 Like
Sasa omo inawekwa next to mkate isn’t that a health hazard?
itasafisha matumbo
2 Likes
@old monk Vile tyre dealer Mutiso amesema Nyeni lazima zioshwe zingare
1 Like
Kali sana
:eek: :D:D:D speed ya githeri ni mach 2??? imefika space sasa