Ngimanene ti Kihii

Nilisupply kampuni ya woriah na vitu na sasa imekuwa 6+ months na hawajalipa…naona wanafungua branches zingine lakini hawana pesa ya kulipa Ngimanene. Kesho watajua Ngimanene ti kihii kia kuthakia

[ATTACH=full]246086[/ATTACH]

Jinga kojoa ulale

enda na nguruwe uone

Wajue hawajui, maffi wao!

Tafuta lawyer and Sue them

Patia yule 120kg of pure muscle kazi uende na Yeye ama hawa Wariahe watakufinya makagare urundi ukisema “ngima nene ni mai ma Kihii”

Ako busy Kiambu Road akiwa na mabango ya kitaeleweka .:D:D:D:D:D

Lazima watu wafanye biashara kwa njia halali, sio kuumizana… Kazi ya pesa kidogo ikuwe same day CoD upitie pale lingerie world kununua crotchless pandie utetemeshe ikusde ya madam hio siku vile kitunguu imenuka…kazi ya pesa kubwa ni 30 days, ukatetemeshe ikusde pale White Sands ukisherehekea

Nawaangukia na my lawyers kesho saa mbili asubuhi na mapema…heshima lazima idumu…na 20% interest

Kivisi kiino, tupatane hapo Njoguini Annex…utatahiri upende usipende ghasia ibilisi

@kush yule mnono Nguruwe nikulipie ndege saa hii ukuje twende kwa oria

Khasia … si lazima ulipe ndege, ntajileta tu kusaidia kama kaka braza

Huyo anakula mtura 24/7 anajua mdomo tu

Niaje mtu ya akili hakuna

Ikia Wararoo acio kiara itina,watatiii

Ukuja kuchomea Woria duka yake yote juu ya 20k wee ka huko mbali