• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Ngimanene ya Kavagara

#1
Kuna hii ugali ya Joy Millers inajiita Raha Premium flour, madam Ngimanene aliona apike, nawaambia si hio ugali ilikuwa white, very white, extremely white. Mpaka nikamuuliza kwani alipika ngimanene na jik ikuwe white hivyo, animalize achukue plantation ya matharo.
Hio Ngima is abnormally white with a rather bland taste. Nafikiri imetolewo kila kitu kazi yake ni kushibisha with 0 nutritional value. Sioni ikiwahi pikwa kwangu tena, itapikia mbweha the dog ngimanene ya kula na ng
 

Top