Ngong Road

alalalaa waah nimekaa kwa jam tangu 5pm hapa dagoreti corner till saa hii 9:13pm

jam huku ni heavy sana

kwani unakaa ungwaro ama waithaka

Kwani hauwezi park gari mahali safe ukanyage kamlesa mpaka home gari uchukue kesho? Hii mambo ya ku-waste 3 hours in a car doing fuck all ndiyo inarudisha uchumi nyuma.
And who said everybody has to drive just to make a statement? Shida za kujitakia hizi…typical!

3 Likes

Hama huko. Watu wa ngong Rd na rongai huruma tupu

some of us only use our cars on weekends not coz we cant afford but coz it makes sense.why spend 2.5 hours driving from upperhill/community to thika road when commuting takes 1 hour max??

Kwani hauwezi park gari mahali safe ukanyage kamlesa mpaka home gari uchukue kesho? Hii mambo ya ku-waste 3 hours in a car doing f**k all ndiyo inarudisha uchumi nyuma.
unataka aende mpaka ngong miguu?unge advice yeye anunue black mamba

Ngong Rd uko county gani…just curious

Is it that every villager anaishi ungwaro? The other day it was @TIG aka @Javino then came @shocks and now @highschooler

HOYA 2015

Atoke apark wapi? We dont park everywhere here. Neither do we walk everywhere. Na hii ni kenya chief. Its not like we have subways and effective public road transport here. You are better of at all times with a car than without.

Commuting kutumia nini?

Ama waendeshe bike kama @The.Black.Templar

2 Likes

kunyi yako.

Depending on where one is at that particular moment, it may not be possible to simply park the car and walk away. There aren’t many secured parking slots in this city. Secondly, it’s not always safe to walk at night in some neighborhoods.

1 Like

Iza

1 Like

watu wengine hapa wanajibu nikama hawana kitu ya kusema…

nilifika home 2am … ana wengine walifika 5am leo

2 ama? Hata wasee wa mombasa Road hawafiki that late

Mimi hu overtake magari sana kwanza zikiwa kwa jam ndogo…lakini wasee wa probox hawawezi itikia niwapite…nikiona probox navuka barabara na overtake from the other side

yes 2am … kuna watu walifika 5am boss… nadhani ni floods zilifunga roads

Maji hufuata mkondo. Watu ndiyo walifunga barabara with our selfish don’t-care incessant littering.

2 Likes