ni kitu gani ushai fanya unwillingly ikafanya you hate yourself for a. Mnth

Men day flani ady I didn’t tell anyone leo ndo nme amua kusema… nilikuanga westgate and had to use the choo… after meffi I wrapped the tissue paper panguzad haga kuvaa trouser the other tp paper kumbe ilikwama kwa trouser… so mm kutoka loo nime vuta ki tissue mrefu but nusu coz ilikatika., so i walked and watu matacore badala they tell me wana nipiga tu usolo ady girls and in my mind i was like hee kwani mm ni handy aje and like celeb man hee ndo a certain cleaner alinishow niji angalie nyuma… i was like shiiit man iyo ni aibu ingine ady waleo it makes me feel like am a pussy. Ingine tena and i did not tell anyone? Nilikojoa kwa bed day flani kwa uncle yangu and i wasn’t drunk nilikua tu sawa yet ijawai happen ata nkiwa mlevi or high… nakuanga nime block yy coz of that incident coz they laughed iyo day vile the mboch found out… what’s your story wakati wa dhiki

zako zimezidi bro

Nikiwa kipii Matha alinipea ndama wawili wa ngombe zetu niwataftie food juu mama yao wako Zero grazing hawaezi toka. Zikaanza kuwa jumpy zikikimbia kimbia kwa shamba za wasee opposite directions zenye young seedlings during those nice rainy seasons. Ndama zimefurahi siezi zishow kitu.
Nilibeba Mawe dimanga kama nimeiachilia na kwa hasira! Nikaona kandama kakianguka kakitoa damu mapua na mdomo… kakadedi bana :mad:
Nilifeel vibaya hadi wa leo

aunty wangu alikufa asubuhi na watu wakaenda kwa hao kumourn. Mimi nilikuja kama nimeingia but by default nikasema na mother tongue “mko wazuri” while everybody is crying. I wanted the world to swallow me

Hii story haimake sense. Kwani haukutoa trao kabla uanze kukata weight? Juu ya hii story wewe ni:
[ATTACH=full]314675[/ATTACH]

Wah iza

Kuna time tukiwa kwa mazishi ya close relative, cousin yangu akatoa joke funny. Nilipasua kicheko na nguvu, wasee wakaturn kunicheki kama wameweka sura ya huzuni…nilifeel guilty bana

Kuna time nlikua natoka 001 na nlikua nmepitia kwa mama ntilie chapoo dondo.kazi ilikua kumbunya mbunya safari ikiendelea. kufika emali napata passenger mdem wa kufika mlolongo.ile harufu ilimgonga mapua waah!! nkikumbuka najicheka tu

Tp ingine ilikwama kwa trao na uku kwa haga

Mimi zenye nimefanya ni mob sana i don’t even care anymore

Iyo naye ni ujangili

By @Osiris
Last weekend I broke my record previously I have severaly passed out in bed and ended peeing on it, but last weekend I took it to the next level I passed out in a mat ended up pooping on the seat but fortunately sikuambiwa nisongee mtu so they never discovered it while I was still in the mat. Lucky escape but I am still imagining what could have happened had I been discovered. That was a shameful experience.

Puuueeee

You what in a matatu? Morio have you been to hospital that is not normal?

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Yaani huyo msee mcoosh yake iko worn out haina grip ama brakes hadi anajikunyia kwa mat akilala? :D:D:D

P:meffi::meffi:p story :D:D

Fucked some bitch and got a UTI. I discovered it while on the parking lot of some mini supermarket. I had this strong urge to pee, run to a nearby restroom na kulikuwa foleni ndefu sana. Am in the middle of town and my bladder felt like it was bursting. No fucking kichochoro on site yaani i was fucked. Had the idea of running to my car and peeing in a bottle. The idea of finally relieving myself overtook me and I lost control 2 metres to my car. Now I couldn’t even get in the car so nikasimama kando ya mlango and finished peeing on myself. Took the plastic floor mat and put it on the drivers seat na i drove home. I literally got an existential crisis from that experience. Felt something major was wrong and a trip to India was looming. Turned out to be a UTI and it cleared. It was truly a horrible experience.

By @Uncle Thio
Nliwai patikana morning ndani ya Toyota passo yangu kwa parking ya club fulani na kunguru kama imeshikilia mucakwe kwa mkono. I guess ilifaa kunipatia head wote tukableki in the process, mafala walichukua mbica kathaa zikaenea kwa social media. That was many rains ago …

Written by: Hashtag
ilikua bash ya job and
when the party ended at around 10 pm kila mtu
akipanda basi tukue dropped at our homes; niliingia
kwa basi nikakaa vizuri side ya window then i think
pombe ilichemka juu I had very cold drinks zile
zinachemkanga kwa mwili zinakulewesha baadaye.
Nilijikuta 2 nimefungua drisha nimeruka inje ya
window nikaanza kuhepa kama mwenda wazimu; my workmates ndio waliniokoa i have the video they recorded; somethings ukiona vile ulilewa uwes amini ni wewe!!
pombe mbaya bana.