Ni kweli Kagere anakwenda Yanga?

Ni yule mshambuliaji wa GORMAHIA, Naombeni kujuzwa wakuu,

wanakuja

Naona umechukua namba ya Joseā€¦

Anakuja nimeshamsainisha mkataba kama ule wa wajerumani na chief Mangungo

mmhh!labda wamlambe miguu xn manji .

Kama nyie mlivyomlamba Mo

mchumia tumbo akil maliawezi waacha salama

Rest be assured, kagere anakuja Jangwani

aje tumroge, Amuulize AMBANI na shikokoti

yule atapiga msimu mmoja tu yanga waanze kumuiita babu

Anakaribishwa sana aungane na winga teleza mrisho khalfan ngasa ankoo

hawana uwezo huo signing fee anataka milioni 180!!mshahara milioni 11@ mwaka!!nani bongo anaweza kulipa hivyo?kwanza kwa kiwango gani alichonacho ila kwa bongo nabakiza maneno kwani usajiri wa kimzuka upo