Ni matusim/maneno gani umeokota hapa kijiji

Ice_Cube

Village Chief
#9
Kunguru.. Had some fundis around installing a water pump and an extra tank. So vile wao huwa they work while wanapiga story na kutoana rangi I overheard them asking mmoja wao "si wewe ukitembea na bibi yako vile ni mzuri kwa njia watu hudhani wewe ni profesa na tuko hapa na wewe" . I then asked him kwani alitoa wapi bibi mzuri hivyo na huku nje tunapatana na makunguru tu. Wote wakacheka kama ghasia.
 
Wanaruona

Village Elder
#14
Mimi iko siku tumeenda camp ya church Mombasa kama tunarudi na coastbus tukapitia pale sabasaba Mombasa kuna makuro walikuwa wanagonja customer. Since I was on the mirror na next kulikuwa na youth pastor. Nikasema ocular nutrition mecho imeng'ara kapsa. Nikaona pastor ananiangalia nikasema AMEN. He thought I was whispering a prayer.
 
mamen16

Village Elder
#16
Kunguru.. Had some fundis around installing a water pump and an extra tank. So vile wao huwa they work while wanapiga story na kutoana rangi I overheard them asking mmoja wao "si wewe ukitembea na bibi yako vile ni mzuri kwa njia watu hudhani wewe ni profesa na tuko hapa na wewe" . I then asked him kwani alitoa wapi bibi mzuri hivyo na huku nje tunapatana na makunguru tu. Wote wakacheka kama ghasia.
Tumejua wewe ni fundi
 
Top