ni mimi tu ama ?

Naonanga huyu new AIDE De Camp wa Ruto anakaa falaa fulani tu from Narok mahali . jamaa ni midget hata hakai kutishia imminent threats. jamaa anakaa ako na wasiwasi kila saa zero confidence . anakaa kutoka mbio any second:D:D:D:D

yes i know he is just a symbol but why have a symbol that looks weak . Ruto akisimama jamaa anapotea huko nyuma yet Ruto is not even tall cause Miguna dwarfed him juzi . ama ni hasora narrative

true

Hio job ya kuwa mbotch wa prezzo is boring to death… kazi ni kusimama kama sanamu.

Na wewe uko na tumbo kubwa hawezi kimbia 20m

Miguna is a big guy. I am 6’2 and he was taller than me when I saw him back in 2010. Or maybe it was the hat adding extra inches.

he always looks disengaged kabisa.

:D:D:D:D:D hapo ni ukweli …That guy looks weak na amezubaa everytime kama fala .Ruto needs weak people behind him though juu unaweza kumbuka vile ameiba na kuua umpige lock.

he’s short with bad body form i bet his neck hurts like hell when he clocks out for the day, lakini these ADCs should just be scrapped im pretty sure their presence is just ceremonial

maybe hiyo kusimama nyuma but president being their commander they still need a military aide.

Mzito @uwesmake kazi ya Aide ni kubeba briefcase, sio kustua machokoraa, vile hua unatisha kina @Karoga ati utawatomba maskio, thats a JD for the PEU.

Hii ujinga Iko tu commonwealth countries ukoloni ya muingerza ijawahi tutoka.

Thats Ruto for you…bodyguard has to be a dwarf, CS’s dimwits, girlfriends ugly…and associates dubious…that only leaves one person who shines through and thats Ruto. Moi also used to be happiest in the company of such characters

Watu wa ku-watch news. Ni huyu?

[ATTACH=full]481231[/ATTACH]

Hii job ya aide de camp nikapewa naweza chujwa same day. Imagine being the aide kwa mkutano where Mulu Mutisya, Raila Odinga, Kalembe Ndile, Jackson Mandago, Oscar Sudi, Moses Kuria, Junet Mohammed and other such comedians are present and are to address the crowd. Naweza Cheka nikakufa nyuma ya rais.

Yeap

Ukwelo. He quite short juu Ruto ni kitu 5’11 hapo

Midget @Akon City II ni 5’5 so there is still hope for the aide.

hii unit yao haina peaked cap?

35kg @PHARMACY can only double up as a ladyboy

Says the homosexual protected by a lover moderator thru anal gymnastics