Ni mimi tu ama?

FTA/IPTV -Zile vitu watu huongea hii forum sijawai shikanisha. Labda thread ya streaming. Zingine zote niko njjeeeee. Si mkuwe friendly juu hata mkikam motoring huwa tunawapea infor pole pole.

some people are generally slow in life - Aviator c.1860

@Meria Mata and @Luther12

Hapa me sitapinga. Vitu huwa hii forum yes i can relate kiasi but genuinely niko nje kabisa. Ile najua ni dstv na star times. Hizo gibberish watu huongea hapa i cannot understand where to start off. Educate a brother niache kuumia kulipia decoder

Ata mimi sijawahi elewa.Ni kama rocket science.Mostly i just ignore such threads.:smiley:

Wanaongea codes kama za military

Tuanze hapa,
Wakati huu wa world cup we are spoilt for choice, we got numerous channels showing the beautiful game and some are in HD. Hizi channels ziko free to air fta na unaweza zipata ukiwa na dish na fta decoder pointed to right satellites.
Next question

Unapoint aje? Ama uko na telescope? Halafu hizi decoder zinapatikana wapi na bei gani. Infact just tell me the one to go buy. Halafu ukitaka kubadilisha channel unatafuta satelite ingine tena? Me huona vile watu huangaika hapa kutafuta signals halafu ndio lingo inaanza kuwa ngumu. And is it worth the effort juu inakaa kazi ngumu

Siku ile nitanunua nyumba yangu ama nipate nyumba kwa jia yeyote.Ndio nitaanza kufikiria kufanya hizi vitu.Hii category ya Fta nitaichambua vizuri hadi nishike.

:D:D Hata mimi zilikua zinapita juu yangu huko klost hadi siku moja nikakamata doc @Luther12 na @Meria Mata nikawakalisha and told them to explain to me like I was a kindergarten kid. Hapo ndio nilikamata

All communication sats are over the equator, sat ya dstv known as eutelsat 36 is positioned at 36°E, that’s why all dstv dishes face the same direction, the sat that hosts zuku inaitwa SES5 @5°e,
Sat’s ziko nyingi sana na humo ndani ndio kuna fta channels zile mnalipia kwa hizo kampuni tapeli. Most of those channels on pay TV are fta in other sats.
@Giggz atakusort with the latest decoder and also do the installation.
Pia kuna movies, documentaries na watoto pia hawajasahaulika.
Next question

Hujajibu cost, and is it worthit and reliable once installed?

Before you buy any sat equipment please consult here
Ukienda luthuri utalilia chooni

Decoder 8k
6ft dish 9k
Lnbs 6k
Cables and assorted paraphernalia 5k
Labour, maelewano.
PS: within 4 months of owning 1 dish I can bet my left ball you will buy another one

Pole maswali ni mob i promise hii ni ya mwisho. Yaani unakaa na lnbs kadhaa kwa dish moja halafu unaongeza dish zingine? Is it viable anywhere in the country? And finally compared to getting internet instead how does it fare?

Some sats with gd fta channels are close together and can be received on one dish and it can be setup anywhere in 254.
Stable cheap Internet will be the death of fta and paytv coz of IPTV

2200 AD

Hehehe.
Sooner than you think my fren, hindernet is now a basic human right. Next erection utaskia mpigs wakipromise free WiFi

Go to this thread:

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/kriiing-krrriingg-kengele-imelia-wanafunzi-njooni-hapa.59371/

Iwapo kuna maswali, uliza papo hapo.

FTA is not for everyone.