Ni nini mbaya na hi Kenya sasa hivi?
Toa kauli yako
Ni nini mbaya na hi Kenya sasa hivi?
Toa kauli yako
Uhuru na Raila
End of two dynasties
Wengi wetu tuna matumaini BABA ndio Panacea ya shida zetu huku Kenya
Tribal politics.
Na hizi elections zimepeleka biashara shiiiini.
Ule jamaa wa judgement
maraga!
replace panacea with source and it will make sense !
[ATTACH=full]126222[/ATTACH]
Aggressive mosquitoes.
Geographical problems
Nita wambia mutueleze shida ya CJ maraga na uta anza kutapa tapa hapa
Tribal politics zime kua ngori every body is sticking to his gun
There were no votes in the servers, why not just retally from all the polling stations?
These people think like guka’s empty headed baboons.
Wacha shida idumu.
Kuna kura zilikuwa zikipigwa kwa server?hebu niulizie hio swali kwa baba?
wewe
Tribalism
Vita ya masonko, masikini na yeye anaigilia na Ujinga yake…
siasa mbaya