Ni Saa Kumi Na Ishaanza

starehe kwa heshima na sii tafadhali. kwenye famous grouse, kwenye alele, kwenye cashew. do ladies use this stuff? ur all welcome !
.
[ATTACH=full]12781[/ATTACH]

7 Likes

[ATTACH=full]12783[/ATTACH]

9 Likes

Hiyo meza ni shape ya dem amepiga doggy ama?

3 Likes

.
hehehh Virus rada ni gani leo empress wa kwako akaamua tu ma selfy -groundies ndio zake? must be a luhya iyo kuku…

uncle nyam uko raada aje? hehehh ! hiyo empress akiingia aone anajua hiyo ndio style atachora iyo siku

3 Likes

hata njoti:)

njoti ndio hizo peanuts kwa right

Those pants…:slight_smile:

1 Like

Hehe

si ako on point? ka figure kame-tok’lezea ! :rolleyes::rolleyes:

My weekend has officially began somewhere in Mumias.
[ATTACH=full]12788[/ATTACH]

9 Likes

@mayekeke hapo sawa taxin ishike wikendi ikikaribishwa. maze thank goodness hakunanga alco-blow ya Handas as in ka veve-blow hivi to detect how high you are on the stuff… hehehh ! tungekua tunakiona! watu kama sisi ma-beast hawawes tushukishia starehe :D:D

Kashambaaaaaa jo!!! mtafanya nirudi veve ya sunday

Hao jamaa wa alcoblow hucheki huyu jamaa yuko under the influence of something lakini nikiblow kwa hio kitu hakuna any, wanachoka.

2 Likes

Kwani uko wapi nikutumie haka kabasanga kutoka UG?

haha bado niko Nairobery, naona nikichonga Sunday afte Club Samba nikiskia liveband ya Raggae na kuwatch Gor n AFC

@colombo ur missing alot. shika handas taxin kafure leo usiku ukiwa kwenye roots
@mayeke hiyo umeshika U.G ama ulianza nayo hapa kenya ukafika nayo uko? matawi za inje ziko aje compared to za hapa local Easich ?

@Hash_Tag ni juu nilin’golewa meno mbili za nyuma moja juu moja chini, that was kitu 2006 na nikapunguza by kitu 2009, since then ave not been very active, but I will make a comeback soon but am a weekend guy, no drugs on weekdays unless am working all night ntakula miraa na kahawa

Hii ni gari gani. I like

LOL how did you even notice that???

1 Like