NI UJINGA KUFIKIRI KUKOPI NA KUPESTI UKOMUNIST TZ LEO

Wapo wajinga na wapuuzi wachache,kwa maslahi binafsi,uoga,njaa na tamaa, wanafurahia kufa kwa democrasia Tz.
China wanahistoria ndefu,nidhamu,na mfumo wao wa Ukomunisti.
Tujiulize tunae Mao, ama mzee Nyerere wa kusimamia mageuzi haya!?
Tupo tayari kutunga sheria ngumu na kuzitekeleza kama kunyonga wala rushwa nk!?
Katiba yetu ilitambua mfumo vyama vingi na democrasia! Taifa letu lenye mrengo wa kibebari zaidi,ni salama zaidi kuwa na mfumo wa checks and balance .Leo hii tumwachie akili mfalme,mtukufu,mwenyekiti wa chama pekee!!!???
Tuseme hapana kwa ujinga huu,tudai katiba bora zaidi.Taasis,Wadau na kila mmoja apaze sauti tunapelekwa kutupwa mto wenye mamba wakali!!!

China nchi inayoongoza kwa ukiukaji wa haki za binadamu!

Demokrasia haiwezi kufa Tanzania… kwa sasa ni kama imefanyiwa pause… awamu ikipita mambo yatarudi kama kawaida…

Ni upepo tuu…

Cc: @Mahondaw

Mungu wa haki yupo
Haitakufa hata kidogo

hawaoni tabu hawa jamaa kuua aisee, ila wakiguswa wao utawaona akina lugola kwenye vyombo vya habari, hii sijasikia igp, rpc na wala waziri akikemea japo atoe tu tamko, kwa kutegemea kura tu ccm hamtaitoa tafuteni mbinu nyingine nendeni msituni wakuu

Kesi inachukua 30 minutes na 5 minutes zijazo mtu ananyongwa!

UJINGA UJINGA