Mimi nashangaa na hutu tudame twa 1998. Yaani kamtu bado kanaskiza gal a bubble, na akina vybz kartel, anateremsha mzinga ni kama anameza asali na hata hawezi peel viazi.
Unamtolea form, anasema "nina boyfriend", Tena anakuambia, " ni vile tu nimekufriend zone". Sasa una expect mimi niwekwe friendzone na kamtu hata hakuwai soma GHCRE? Kombamwiko ya white wewe!