Ni vyema ukayajua haya kabla ya kuingia kwenye ndoa.

  1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
  2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
  3. Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
  4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
  5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
  6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.
  7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
    (a) Walevi
    (b) Wazinzi
    (c) Wagomvi.
  8. Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
    (a) Walevi
    (b) Wazinzi
    (c) Wachawi
    (d) Wagomvi
    (e) wasio tii
    8 .Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.
  9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
    (a) Nakupenda.
    (b) Samahani.
    (c) Asante.
  10. Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.
  11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta. Hamuwezi kufika popote.
  12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:

Mungu mmoja
Mume mmoja
Mke mmoja.

  1. Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi ktk Ndoa.
  2. Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.
  3. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.
  4. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.
  5. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.
  6. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya (Bad company corrupt good character)
  7. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.
  8. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza…

Woi.Kiswahili kifukuzwe.

@Polmos hujaelewa nini mpaka unasema Kiswahili kifukuzwe mbona rahisi tu.

Didn’t read

I am not ready for headaches trying to comprehend some things written in kiswahili sanifu.

I think you should give these guys their private room where their threads do not feature in the juu threads zao zinaleta confusion

Summary priss @pamba

Wacha mwalimu @gashwin afanye hio kazi.Kuna mahali nimeona ameandika kiswahili kali sana.

very good advise there.i understood and all of you are cunts for not understanding our national language…pthooo! maringo za peni mbili

NIMEWASIKIA NA NIMEJARIBU @Purple
IT’S BETTER TO KNOW THESE BEFORE TAKING A WEDDING VOW:

  1. Wedding ceremony is only one day, and Marriage is for all life.
  2. Men / women cheating before sex, they will continue to spin even after marriage.
  3. Gentleness and silence are not an indicator of good behavior.
  4. If you want something that has never been experienced by anyone, you must do something that has never been done by anyone.
  5. When God wants to bless you, he bring a person, and when satan wants to destroy you he will bring a person.
  6. Better to live yourself than to marry or to marry someone who is not right.
  7. Three types of men avoided:
    (a) The drunkards
    (b) Fornicators
    (c) Those fighting with their partners
  8. Five types of women to avoid;
    (a) The drunkards
    (b) Fornicators
    (c) Witches
    (d) Those fighting with their partners
    (e) Those who doesn’t obey
  9. Marrying with a comedian will not make your marriage a happy one.
  10. Three words that build peace in marriage:
    (a) I love you.
    (b) Sorry.
    (c) thank you.
  11. Masturbation for a male and even female is to destroy their own bodies.
  12. Getting married before being friends is like a car without oil. You can not get anywhere.
  13. Successful Marriage is all three times:
    (a) One God
    (b)One husband
    (c)One wife.
  14. Eternal happiness depends on your mate’s choice into Marriage.
  15. Do not get married with money or property. Marry / Oops with someone. Money / Property is dissolved but the dignity lasts forever.
  16. Broken love is better than a marital and unhappy marriage.
  17. Do not put your focus on a woman’s appearance. There’s no bad woman, but she needs to be enriched.
  18. Love is not blind. Blind is to marry or to marry a man / woman just because he satisfies your sexual need.
  19. Being a good friend, you will attract good friends. Similarly with bad friends (Bad company corrupt good character)
  20. The nature of caring hands is a caring heart.
  21. Avoid a bad marriage before it starts …

No 7 (b) wazinzi nini? Boss

Pembetatu = Three horns

Wacha kutubeba maembe.

Kawasaki batallion

SUMMARY = MSIWAI OA!

Bana!!most kenyans suffer from low self esteem.How is it that you can’t understand Swahili yet you learnt the same from lower school to high school?!not to mention we did the story books?In my year we did waziri wa sijui Butangi or something!!!our friends and families converse in the same language!!!its disgusting to see a grown up African or kenyan for that matter talking smack about Swahili!!!it tells so much about your character,that your ass is fake as they come!!!i mean jomo kenyatta spentt almost 15 years in England and still would converse in gikuyu and call fools “kumanyoko”!

Wazinzi ni Fornicators (men /women having many sexual partners)

adulterers

:D:D:D

[ATTACH=full]175278[/ATTACH]

3 sentences down the line, Kichwa kinauma. Tunaelewa, lakini hatujazoea.

@mtoto wa bongo wewe ni mchanganuzi wa mambo ya mapenzi?