Niaje wadhii

Wasee wangu niajeni… poleni nimekua tz na ma bundles sikua nazo… anyway niko online tena coz niliamua kubuy line ya vodacom… but uku kuna maneno… imagine nimejiangalia kwa kioo nikajiona? Am so excited. Kesho ntarudi home najua mjanimiss gunia izi…

@GeorginaMakena = @Mosa

Sawa mkUMBWA!

3 Likes

:eek:.Wacha aone hii.Atawekelea thread moja mzito hadi server za ktalk zi crash.

6 Likes

:D:D

Nalike iyo jina Makena

@Mosa kuna agemate ana kutafuta on another thread anaitwa @INSERTER .You two seem to have joined ktalk in June 2017.Ndio maana nawaita agemates.

Mosa ww ni cancer of the anus…soo irritating and painful…na kukumaliza pia ni shida…

1 Like

am aware

Wewe ni tick in the ass ndaaani

haha

haha