Hivi nauliza ile methali yenu husemwaje??.
Ukiskia la wakuu mkufuu huu na akifaa wakufuu haa na ukufu mkufu kuu…
ama namna gani
Hivi nauliza ile methali yenu husemwaje??.
Ukiskia la wakuu mkufuu huu na akifaa wakufuu haa na ukufu mkufu kuu…
ama namna gani
Sjaelewa hata robo
WTF !! is this Swahili OR Mkuu umeanza kugoroka
Mjaluo akijua kiswahili kidogo tu, basi lazima akivunje hadharani… tehteehhh
Metoka kapa
Amedhamiria tusielewe
Mwenzenu huyo. Tabia kama za Ze Comedy Show kabisaaa, na zile jokes zao za kuchekesha macameramen pekee yake. :D:D:D