Hawa ma-oga wanapelekwa kama baiskeli ya kuibiwa. Wakiendelea hivi naona wakikamuliwa.
Hehe. First 10 min nimepoteza hope
Hawa ma-oga wakicheza watalimwa.
2nd half we are coming with vishindo and juju oh…
Hiyo bao ya Mahrez wamefungwa haraka kama mlango ya Lodging