Niko na shinda

Status
Not open for further replies.

Wooi

Village Elder
#1
Leo Sina mingi, ni swali tu, niko na printer ya Hp Laserjet 2500 series. Ilikuwa iyafanya kazi poa for a year for until last month wakati iliacha. Nimejaribu kila mbinu, Kure install drivers, factory reset, kujaribu Kwa computer zingine lakini wapi,
Inawaka, you can print a service page, lakini ukii- connect Kwa comp nothing happens, there is no hardware acknowledgement.
Kizungumkuti ni, kuna nyingine iko na shinda kama hiyo hiyo.
Hii ni shinda gani, Nani ako na jibu? Nani a naweza jua service man yeyeto Wa Hp anisaidie na contacts,
Ndio hiyo shinda yangu
 
F

Female Perspective

Guest
#2
Wooi! Nani ako karibu na printer SAA hii?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Top