Hii choo ya kukalia hutumiwaje, it is giving me stress
Panda hapo juu.Yaani perch on it na uchunge kuteleza.
Panda juu ya hiyo bowl fanya catwill kama wale akrobats wa pale odeon ama kencom then start shitting.
rudi tu suguta valley…
Ya. Kukalia, - are you a dunce?
Na unajiita Berlin Oxford?.. Tafadhali chagua jina Kama Ndondori Chebarbar.
saidieni mwanakijiji, acheni ushensi
tafta manual ya hio choo, paka mzee iii!!!
Tupa tissue kidogo kwa maji usijisplash.
Pangusa kiketi kabisa.
Kaa.
Kunia.
Pangusa.
Flush.
Tafuta ya shimo tu… huwezani na hio
Kwanza kunywa hiyo maji safi unaona hapo ndani. Chota na Mikono miwili.
Ensure meffi haianguki kwa maji direct. Iguse hapo maji huteremkia ukiflush, hivo haitasplash
Ile siku nilikuwa na swali kama hilo LA ujinga ni kitambo sana
Imagine Liverpool conceding three goals in the second half. Deja Vu.
Better the squat one… Hii kitu sijawai kuizoea… Then una get wanaweka mpaka kwa public loo dem man aint sittin on that isht.
upuuuuus.
well Maliza biashara kando na utumie hiyo maji safi Kuosha mkono
I hate it, it give me stress every time i go to a place and find it
hii inasaidia watu wengi apa wanajifanya ma expert. Hii kiketi inapanguswa ni gani
Lazima umetoka areas za Eldoret ama kitale sanasana