Nilete hii Nairobi

uhondo

Village Elder
#1
Tuki anza kutumia hii Nairobi, si boda boda kwisha? Hii una endesha toka GPO hadi Archives badala ya boda au kaguu, 2 minutes. Ama Polytechnic hadi Campo. Ni ku import tu. 20190618_160337.jpg
20190618_160241.jpg
Thoughts?
 

Bigfish1

Village Elder
#9
Paved walkways aren't even, and the roads too, then the way drivers drive on these streets. Death and injury is very easy.
Kisha CBD is crowded sana.
Lakini Jaribu tuone in sha Allah.
 

Top