nilijiua tu hii ni ndume

Margeret Nyairera Wambui: Mwanariadha wa kike wa Kenya asema hawezi kupunguza homoni za kiume
21 Mei 2019
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya pichaAFP
Image caption
Caster Semenya (katikati) alishinda dhahabu katika mashindano ya madaola 2018 , Mkenya Margaret Nyairera Wambui (kushoto) na Natoya Goule wa Jamaica Jamaica (kulia)
Bingwa wa mbio za mita 800 nchini Kenya kwa upande wa akina dada Margeret Nyairera Wambui amesema kuwa hatotumia dawa za kupunguza homoni za kiume ili kushiriki katika mbio hizo.

Akihojiwa na BBC mwanariadha huyo amesema kuwa dawa hizo zina kemikali ambazo huenda zikakuathiri katika maisha ya baadaye.

‘‘Mimi siwezi kutumia dawa kwa lengo la kutaka kupata fedha,Mungu aliniumba niwe hivi nilivyo - kumbuka dawa hizi zina kemikali ambazo madhara yake baadaye huenda yakawa mabaya katika mwili wako. Wakati huo wote IAAF haitakuwa hapo’’.

Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 24 ni miongoni mwa wanariadha walioathiriwa na sheria mpya ya shirikisho la riadha duniani IAAF inayowataka wanawake walio na viwango vya juu vya homoni za kiume testosterone kutumia dawa ili kuzipunguza mwilini.

‘Mbappe atasalia PSG msimu ujao’
Vincent Kompany kumkaba Mbwana Samatta Ubelgiji
Man City yaiadhibu Watford na kushinda kombe la FA Cup
Sheria mpya ya IAAF
IAAF inasisitiza kuwa sheria hiyo ni nzuri katika kuleta usawa katika mashindano , ikihoji kwamba wanariadha wenye homoni za kiume wanafaidika kutokana na ongezeko la nguvu katika mifupa yao na misuli sawa na wanaume walio balehe.

Lakini mwanadada huyo wa Kenya analalamika kwamba tangu Shirikisho la riadha duniani IAAF liidhinishe sheria hiyo maisha yake yamebadilika na kuwa magumu.

‘‘Kwa sasa unajipata umeketi kitandani hujui ufanye nini, ukiamka hujui uende wapi kufanya mazoezi na hata ukifanya mazoezi hujui utakwenda wapi. Hii ndio biashara tunayofanya, ndio inatupatia kila kitu cha kunywa, mahitaji yote, inatusaidia kuwekeza halafu unaamka siku moja unaambiwa sasa kuanzia leo huezi kuendelea na bishara hiyo-lazima maisha yako yataathirika kidogo’’, alisema bingwa huyo wa mita 800.

Alitarajiwa kushiriki katika mbio za IAAF World Challenge mjini Nanjing wiki ijayo lakini sasa maisha yake yamegubikwa na swali gumu.

‘‘Usiku usingizi unapotea unajua ni kitu inahusisha maisha yako kwa sababu tayari ulikuwa na malengo yako lakini sasa malengo hayo yamekatizwa’’,aliongezea.

Sheria hiyo mpya inaathiri kuanzia mbio za mita 400 hadi maili moja na inashirikisha mbio za Heptathlone zenye vitengo saba ambapo mshindi hukamilisha mbio hizo kwa kushiriki mbio za mita 800.

Kuhamia mbio za mita 5000
Nyairera anasema kuwa hawezi kuhamia katika mbio za mita 5000 akisema kwamba hajawahi kushiriki mbio yoyote mbali na ile ya mita 800 ambapo ujuzi na mafunzo tofauti yatahitajika ili kufikia kiwango hicho.

‘‘Sasa kuanza kukimbia mita 5000 kutoka 800 ni kitu hakiwezekani. Sijawahi kukimbia 5000m nikipitia laini ya utepe mara ya kwanza najua kwamba mara ya pili nimemaliza sijawahi kupita Utepe mara hizo zote’’.alisema

Chini ya sheria ya IAAF, wanariadha wa kike walio na viwango vya juu vya homoni za kiume watalazimika kushindana na wanaume la sivyo wahamie katika mbio nyengine iwapo hawawezi kutumia dawa kupunguzi viwango vya homoni hizo.

Sheria hiyo mpya itaathiri kuanzia mbio za mita 400 hadoi zile za maili moja na mahitaji yake ni kwamba wanariadha ni sharti wapunguze viwango vyao vya homoni za kiume chini ya kiwango kinachohitajika kwa zaidi ya miezi sita kabla hawajaanza kushindana.

Hatahivyo sheria hiyo mpya imepata wakosoaji huku baraza la haki za binaadamu katika shirika la Umoja wa mataifa likisema kwamba hatua ya kuwaorodheshwa wanariadha wa kike kulingana na viwango vyao vya homoni za kiume inakiuka haki za kibinaadamu.

Uamuzi wa mahakama ya Mizozo
Hivi majuzi mahakama ya kutatua mizozo katika michezo CAS ilipinga rufaa iliokatwa dhidi ya Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya ambaye ni miongoni mwa wale walioathiriwa na sheria hiyo.

Lakini mahakama hiyo ilisema kuwa ina wasiwasi mkubwa kuhusu matumizi ya sheria hiyo katika siku za baadaye.

Haki miliki ya pichaAFP
Semenya ambaye ni bingwa duniani katika mbio za mita 800 alijibu kwamba sheria hiyo ilikuwa ikimlenga yeye binafsi.

‘‘Kwa muongo mmoja sasa IAAF imejaribu kunikata makali, lakini hatua hiyo imenifanya kuwa na nguvu’’, alisema Semeyna

Uamuzi huo wa mahakama ya kutatua mizozo hautanizuia, alisema Semeynya katika taarifa.

Mada zinazohusiana

Too long to read

And you think @uwesmake gives s fcuk?

[SIZE=7]800m sprinter Margaret Nyairera is snatching my girlfriend- Distraught man[/SIZE]
Sports By Kevin Tunoi 1 year ago
Share this Story7

https://www.sde.co.ke/sdemedia/sdeimages/friday/thumb_gjkbct9nsn1p9b5ac725659ac01.jpg
[ul]
[li]I resorted to confronting Margaret Nyairera who did not deny but instead claimed that I should have known -Steve Chemogos[/li][li]The two women have in the past uploaded their photos on social media getting cosy on different occasions[/li][/ul]
A Nairobi businessman is losing sleep over the loss of his girlfriend to 800m Olympian Margaret Wambui Nyairera, whom he accuses of seducing and snatching his lover.

Steve Chemogos is at pains to keep the girlfriend, Wangechi Mwangi, who has seemingly been swept off her feet by Nyairera, now part of the Kenyan team for the Commonwealth Games in Gold Coast, Australia.
Chemogos told The Nairobian that he met Wangechi in 2017, but the female athlete is giving him competition for her affection.
“I have a lot of friends who are athletes and she also has friends who are athletes. We met when I was with the athletes who happened to be her friends too. When I saw her for the first time, my heart skipped a bit. I knew she was my long lost rib and I knew deep down that our match was made in heaven,” recalled Chemogos, tears welling in his weary eyes.
But Nyairera came into the picture, referring to Wangechi as ‘darling,’ in online posts. Wangechi responded in one post: “… All the best sweetheart… success is all we want… I know you will do it darling… Much love.”
https://www.sde.co.ke/sdemedia/sdeimages/friday/thumb_gfgzwqtmzkhk0a4y5ac725838e29f.jpg
Margaret Nyairera and Wangechi Mwangi
Nyairera commented on the post thus: “Thanks darling I do appreciate you.” The post was apparently to wish the athlete success in the Commonwealth Games, and these messages are denying Chemogos sleep.

“I realised recently that they were becoming very close. I knew it would break my heart because I love Wangechi with all my being. I confronted Nyairera who did not deny the relationship, but instead claimed that I should have known,” explains Chemogos, a small time businessman who hails from Nandi County.
Chemogos is no longer at ease “because I know that when Nyairera comes back, she might displace me because she is richer. I know she is planning to use her financial muscle to destroy my relationship which I have built for almost a year now. For now I will bask in the glory of being the king of this kingdom.”
https://www.sde.co.ke/sdemedia/sdeimages/friday/thumb_gfkvkxwjuvabyn55ac725de0fb7d.jpg[B]Margaret Nyairera and Wangechi Mwangi[/B]
In a series of screenshots shared with The Nairobian, the man pleads with Nyairera not to interfere with their relationship. The back and forth has Nyairera stating that she has a sweeter d**k than Chemogos.
Wangechi, who rocks natural hair, declared her love for the athlete on Facebook with love emojis. She posted two photos of her and Nyairera at the airport clad in a branded sweater with Nyairera sporting the Kenyan team colours.
https://www.sde.co.ke/sdemedia/sdeimages/friday/thumb_lelilfwtyvwnulqhyz5ac725f3a3689.jpg
Margaret Nyairera and Wangechi Mwangi
The two women have in the past uploaded their photos on social media getting cosy on different occasions.
Wangechi in different photos is clad in IAAF Diamond League and branded T-shirts. One of her Facebook posts is captioned, Amore Mio (Italian for ‘My Love’).
Nyairera warned Chemogos saying he’s wasting his time and resources: “Wewe ng’ang’ana tu maybe atakukufia but she is mine,” states a post by Nyairera. When we contacted her, Wangechi retorted: “Is that your work, to ask people about their relationships?”

So tuseme amemea mucakwe sindio

When you think that you have seen everything that there is to see in shiny land Kenya, another one comes up that demolishes the entire field. We thought kukamua mifugo wa nyumbani would be the last of the shenanigans to come out of shiny land. Naskia siku hizi some shiny eyed fathers have made it an obligation that lazima waonje daughters wao before aolewe to make sure that would be husbands wanapata kitu tamu yenye ishatobolewa.

“Unaskia siku hizi” …When your wife goes to work you are left mtaani gossiping with housemaids. Respect yourself nyang’au hii.

They’re 100% women,they should race as so.

Kuchapa!! Wah!!!
And that idiot male whining to the public needs to grow a pair of solid macadamias.

dawa ni kasho

You must be one of the men am always told of. Mbona imekuwasha hivyo. Fanya hivi, meza wembe.

Meanwhile, Semenya’s girlfriend is pregnant.

With what?? Ideas?

Upusu

You should strive to get out of your mediocrity. I hope it was a slip of the tongue because I don’t expect a living and breathing human being in this century to think like that. You are a tribal piece of shit.