Nime yawn**

after kuona kagate kamendikwa Kenyatalk Kumbe ni shimo la wakora wa klist :slight_smile:
[ATTACH=full]8264[/ATTACH]

Nani mgeni?

kwaza we ni nani??? Alsapap, poko haramu, eyeshish, mrc,

3 Likes

ii inakaa jangili…

or Judas

ama mamluki

1 Like

huko nje bado kuna watu wanzunguka wakitafuta shimo wanaweza fit after klost.

1 Like

Ulikuwa nani katika K-list? Interview iko njiani with @highschooler.

ama angola msumpishi?

You guys were you really in klist? Siko twitter was known by the same handle in klist… I have noticed this a number of times by guys whose handles i can’t recall back in klist

2 Likes

Sio kukutusi, lakini, unaishi shimo gani?

1 Like

Yeah hii jinga was in klist na akina crazy jamal, c3, moi mc, kibet, dwang, mwax, madovah, madova,beatrice, megdee, 30k salo n etc

I remember that handle as well!

1 Like

Hii nugu ni ya kutoka klist.

@highschooler peana mtihani hapa

Haiya. Kumbe kuna watu walikuwa na register ya villagers wote.

The name of this handle always cracks me up.

Jibu mtihani ndio tukubali ni wewe…
…

  1. Apart from kaswende name 4 other
    ailments treated by doc Luther.
  2. Name three characters in the
    wakorino legend. Name the author
    too.
  3. Name 4 listers Supu ever referred
    to as sweetheart.
  4. Name 5 women climbed by the tree
    of mabenda. Name the locations too
    excluding the pujo.
  5. How many handles did Qamquot
    own?
  6. Name all the nationalities sampled
    by international d*ck sampler aka
    unicorn
  7. Lister gani alimanga Boniface wa moi university?
  8. Lister gani alipatikana akiwank na girlfriend yake kwa nyumba?
  9. Lister yupi alikuwa na shida ya kutumia tissue paper mpaka hubby wake kept complaining?
  10. Who was that lucky lister who fucked @Kaswii wa klost?
  11. Ni listing gani ilikuwa na over 130,000 views and over 1100 replies huko klost?
  12. Ni lister yupi alitafuta financial advice akiwa Japan?
  13. Which lister posted his photos in klost and attracted many comments?
  14. Ni lister yupi huwa source mademu kutoka as far as kapsabet, marakwet na eldy…hint (alienda msa recently akamchukua amina casa b, amina hata hatamanishi)

cont…

[ATTACH=full]8272[/ATTACH]

6 Likes

na mbona mimi sikupewo hii mtihani?

Jibu tu either way!