Nimeamua. My next phone is.......drum rolls

Lenovo Z5 Note
https://ke.jumia.is/ndPdvkeD-CLKWeeU71yyLPK3erc=/fit-in/680x680/filters:fill(white):sharpen(1,0,false):quality(100)/product/63/87828/1.jpg?6802

kuna better phones than this

Ni Sawa tu. Wewe nunua hizo better phones

Utalilia kwa choo…bookmark this

weka specs hapa

Meffi chieth hoyie!

Chanua kijiji regarding this choice.

Welcome to the very exclusive Lenovo ® phone club! But be ready for some minor setbacks. The guys at Lenovo really put some work into the design of their handheld devices aka smartphones though, kwanza screen ya phone yangu is so glossy it is almost slippery

afadhali uchukue Xiaomi Redmi Note 7 pro

Waliresolve hio issue ya band 20? Haiko kwa Indian model na ya Shaina iko exclusively in mandarin

Admin kuna post za kung’oa kaa hii meffi… heri porn ya kuosha mecho

Kwa nini watu hawanunui Galaxy Note 9 kama mzito @Mjuaji ?

Maybe because there’s no much difference with the 8 series…

Na hizi kina REdmi not sijui Lenovo Note etc etc ni gani ?

pro version won’t sell outside china and india kama hiyo ndio unangoja na haina band 20

tafuta global model mkubwa

Hapa kenya ni provider gani anatumia hio band

wote saf, telkom and airtel

[ATTACH=full]233226[/ATTACH]

Overpriced for the specs