Nimechelewa ama bado?

A.G.

Village Elder
#17
Ubaya ya kuiba pesa ni eti usipo funga wakubwa mecho. Flying squad tamalisa wewe. Hao wezi ni amateurs. Alafu kina pamba walikuwa wapi kuprovide watu ya G4S na tactical fire? Shait inside job hapo.
 
Last edited:

Top