Nimechelewa ama bado?

Hii pesa iliendanga ikiendanga ama ni mchezo gani inachezwa hapa?

[ATTACH=full]131553[/ATTACH]

:(:(:(wat the fuck are this g4s guys doing.yaani hawaoni hio bag.?hawana gun?fuck them
yaani hio pesa ni mob hivo hadi wanashindwa kuinua bag.

Mapumbu wewe. Sema hauna “mbandos” nikusambazie. Kuma ya ndege.

What has just happened? Gone 4 Sure

:eek: :eek:

Escort ya probox iko wapi in all these? Hii inakaa inside job…

waaaah grand theft auto manenos

huyo driver anajua what he is doing

those guys took too long to load that bag in the car. Is that an AUDIQ7?Probox ya kina pamba iko wapi?

Hio red pillar fence with green grills inakaa ya wapi?

ni kenya huku?

hebu icheki tena, he was positioning the lorry to take the cargo then those guys fired three shots on his window.

Eish! :D:eek:

lakini huyo dere wa audi ni ng’ombe, hata milango hataki kufungulia wenzake

Its probably “Subaru Outback”. :D:D:D
I love that car

Ubaya ya kuiba pesa ni eti usipo funga wakubwa mecho. Flying squad tamalisa wewe. Hao wezi ni amateurs. Alafu kina pamba walikuwa wapi kuprovide watu ya G4S na tactical fire? Shait inside job hapo.

Inakaa Msanzi

Angalia windshield ya hiyo ‘canter’. Plus rithe ikikupita maskio after kupasuliwa drivers window, utawacha waende.

wezi wa huko wanakuanga level ingine