Nimechoka kukamua ngamia

Status
Not open for further replies.

Lab

Village Elder
#1
After one year in this hot sun (40 - 47 degrees)milking camels za muarabu, huku uarabuni. Am coming back home next week after Obama has left otherwise i would have come kesho or sato.
Naskia wanawake wananyofoa transformer za wanaume.
Naskia ngumu makali hakuna.
Pia naskia eti since obama is coming grass is being forced to grow along mombasa road and such kind of areas.
@madova or @Madovah you know yourself utanishow wapi ndapata coomer safi (yes i will pay handsomely) nimechoka kutumia arimis za huku kukamua ngamia na bado nakamua makende yangu:)
:). I havent fucked for one year, hiyo nimevunja record.
Ati pia street families wamesafirishwa hadi machakos ama hizo ni hekaya?
Niliona pia JKIA airport roads are being washed for the first time
.
If these developments would have been going on for the past 4 years continuously
Kenya would have been very far now. But as soon as Obama leaves the everything goes back to normal ama ni mimi tu nafikiria hivyo?
Naskia tule tuvijana twa NYS are arresting people
nowadays, sijui ati jeshi ya waiguru

Ongezeeni zingine zile sijaskia also include some good
news niskie poa kiasi.

camels.jpg On another note i miss matumbo ugali, omena ugali, sukuma wiki ile wengine mumedharau is such a vital and nutritious dish i realy miss it. To top
it all a cold guiness.
Hiyo baridi mnalilialia nataka kuiskia. Nimechomwa na jua mwaka moja nikikamua ngamia.


Hii ndio shamba ya Mzee Abdull
 
Status
Not open for further replies.

Top