[ATTACH=full]178011[/ATTACH]
Mnipokee wandugu walau na mimi nipate kusitirika maana jiwe halina maana
Karibu saaana
Karibu sana. Kumbuka YATIMA HADEKI
Karibu sana
Kweli mkuu sasa hatamdekei nani:cool: wakati mkuu anasema hajaleta tetemeko
yaani km masihara. the stone katuleta uhamishoni