I hope ni wazima wote. Nimefika salama leo hii na nnatumaini ukarimu wenu unaendelea kama ilivyo kawaida yenu. Pia nawafikishia salamu kutoka bongo.