Wakuu,
Sijaunga mkono hatua ya Serikali kuweka ada kubwa ya usajiri wa utoaji wa huduma za mitandaoni na najua siyo kwamba JF wamefungiwa na TCRA kuwepo hewani.
JF hawapo hewani kwa kuwa hawataki kukubaliana na takwa la sheria inayowataka kuanika wazi taarifa zao kwa mamlaka inayohusika na mawasiliano.
Kwahili JF nawapongeza na mimi kama kada wa Chama na mtiifu kwa Serikali ya awamu ya tano jsmbo hili siliiungi mkono.
Mapambano ya kudai uhuru wa kupushana habari uendeleee.
LONG LIVE JF!