Nimeharibu biashara?

#1
I could post this under business or sex and relationships so nimeona niweke general.
Amyway, leo nimeamka kawaida. Nikaingia kwa ofisi. Nikafanya mambo moja mbili.

Kama k, receptionist akanibrief brah brah mob then nikatoka nilikuwa na meeting 9.
Mimi huyo mbio mbio nikachukua team tukaanza kwenda meeting.

Meeting ilikuwa pale telkom kenya. Wueh. Kusema kweli wale wanawake wako hapo, wacha tu. Wanawake hiyo mtaa ni warembo. Vitu safi wallahi dry fry. Na ni warefu design ya farasi. I have not seen a woman hajafikisha threshold ya urembo isipokuwa gate guard. Na labda ni nguo.

So anyway, tukaingia meeting room. Mimi huyo nameza mate nyuma ya mathigh..... auuuuuiiii.

Saa hiyo nasmile sheepishly, unaweza fikiria mimi ni intern naonyeshwa around. Tukaanza mkutano.

Vile nilianza kuongea ndio mambo yaliharibika. Nikimwambia kitu. Macho inatoka kwa uso yake inashuka kwa matiti. Na saa hiyo si ati ametoa cleavage nje. Naongea kidogo macho inaenda kwa matiti. And am not even a boobs guy. Mi ni msee marasa. Then i became aware of what i was doing. Nikajaribu. Namake eye contact then kidogo mimi huyo. Ni kama kurogwa. Labda huko telkom wanaambia madame watukorogee tujichanganye tulipishe rahisi.

Anyway, swali ni, wadau, hata kama tumepewa follow up meeting next week, naweza kuwa nimejicompromise? Nimeblunder?
 
Raheem8

Village Elder
#2

Rule of thumb. Never mix business with friendship, even in a club you should meet her as private. Roll your eyes after the meeting like i always do, upendo ni baadaye
 
AMB_Sunday

Village Elder
#8
I could post this under business or sex and relationships so nimeona niweke general.
Amyway, leo nimeamka kawaida. Nikaingia kwa ofisi. Nikafanya mambo moja mbili.

Kama k, receptionist akanibrief brah brah mob then nikatoka nilikuwa na meeting 9.
Mimi huyo mbio mbio nikachukua team tukaanza kwenda meeting.

Meeting ilikuwa pale telkom kenya. Wueh. Kusema kweli wale wanawake wako hapo, wacha tu. Wanawake hiyo mtaa ni warembo. Vitu safi wallahi dry fry. Na ni warefu design ya farasi. I have not seen a woman hajafikisha threshold ya urembo isipokuwa gate guard. Na labda ni nguo.

So anyway, tukaingia meeting room. Mimi huyo nameza mate nyuma ya mathigh..... auuuuuiiii.

Saa hiyo nasmile sheepishly, unaweza fikiria mimi ni intern naonyeshwa around. Tukaanza mkutano.

Vile nilianza kuongea ndio mambo yaliharibika. Nikimwambia kitu. Macho inatoka kwa uso yake inashuka kwa matiti. Na saa hiyo si ati ametoa cleavage nje. Naongea kidogo macho inaenda kwa matiti. And am not even a boobs guy. Mi ni msee marasa. Then i became aware of what i was doing. Nikajaribu. Namake eye contact then kidogo mimi huyo. Ni kama kurogwa. Labda huko telkom wanaambia madame watukorogee tujichanganye tulipishe rahisi.

Anyway, swali ni, wadau, hata kama tumepewa follow up meeting next week, naweza kuwa nimejicompromise? Nimeblunder?
Hehehe uko tu sawa, but jua kujicontrol. Dont mix the two. Biz muhimu saidi
 
Top