• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Nimekubali. Mimi ni Racist........Nitavote Uhuru 2017...........

Status
Not open for further replies.
#1
Having a scientific background, nimesema nifanye experiment.

Nikakata picha ya Babuon na Simba 1 kwa gazeti nikapandika kwa karatasi nyeupe. Nikachora zile boxes kama ya IEBC next to the two pichas. Nikajiconvince niko kwa booth 2017.

Nikachichocha Uhuru hapati ng'o! Ile corruption tumeona during his first time - jamaa aende nyumbani ama the Carribbean na huyo Ann wa Ikuru wake.

Nikajaribu kuweka X kwa box ya Babuon. Mkono haisongi. Nikang'ang'ana kama nafanya hand wrestling. Nikashika wrist na hii mkono ingine nisukume. Ng'o! Kalamu inaelekea kwa picha ya Uhuru.

Nikaanza kusweat na kubreath deeply. Ngai, this is harder than I thought. Lakini Uhuru lazima aende nyumbani. Niko karibu sasa.......karibu sana na box ya Babuon, just one more inch, just one ferking inch!

My hand snaps back like an elastic band. Ng'o! And before I recovered, it automatically wekad an X next to Uhuru's name! Yaani it became automous like it had its own brain!

Well, at least I tried.

But my meno brown, chokosh heritage just couldn't allow.

Nimekubali, mimi ni racist, officially.
 

4makind

Village Elder
#17
My hand snaps back like an elastic band. Ng'o! And before I recovered, it automatically wekad an X next to Uhuru's name! Yaani it became automous like it had its own brain!
:D:D:D:D:D:D:D

Tafuta ngozi ya simba, mkojo ya paka, chura mwekundu, na mayai ya jogoo and your hand will be as free as a bird in the wild......... even for kawasaki motor-cross GP (nduthi)
 
Status
Not open for further replies.

Top